Kampuni hiyo yakijamii imejipata chini ya shinikizo, kwakuto chukua hatua zakutosha kuzuia uingiliaji kati wakigeni, hususan katika chaguzi za marekani na ulaya katika miaka ya hivi karibuni.
Fergus Hanson ndiye kiongozi taasisi ya mkakati, na kituo cha usalama wa mtandaoni. Bw Hanson anahoji kama marufuku hayo ya matangazo yakisiasa yanatosha.
Bw Hanson ameongezea kuwa habari bandia, zina shambulia msingi wa demokrasia na, hatua za ziada zinastahili chukuliwa kuwalinda wapiga kura, dhidi yaku vuruga uchaguzi pamoja na maswala yauingiliaji kati wakigeni.