Asili za familia zaweza kuathiri utendaji wa kitaaluma katika shule za Australia

Photo taken on Oct. 3, 2017, shows students attending a Japanese language class at the University of Melbourne. (Kyodo)==Kyodo Source: AAP
Uchunguzi mpya umegundua ubaguzi wa kijinsia unaohusishwa na uasilia wa familia ya mtoto unaathiri utendaji wao wa kitaaluma katika shule za Australia. Utafiti huo, kutoka Chuo Kikuu cha Curtin huko Australia Magharibi, ulikuta wanafunzi na wazazi ambao walihamia kutoka nchi ambazo jinsia ni kizuizi kwa elimu ya sekondari, walifanya vibaya zaidi katika vipimo vinavyolingana.
Share