Usiku wa alhamisi 30 Machi 2017, seneti ilizuia jaribio la serikali ya shirikisho, kubadili maneno yanayo unda kitengo 18C cha sheria inayo toa kinga dhidi ya ubaguzi wa rangi.
Mvutano kuhusu mabadiliko kwa 18C waendelea
Seneta James Paterson wa chama cha Liberal anaye ongoza kampeni yaku badili sheria inayo toa kinga kwa ubaguzi wa rangi Source: Picha: AAp
Wanasiasa kutoka pande zote bungeni wameonya kwamba mjadala kuhusu mabadiliko kwa kinga dhidi ya ubaguzi wa rangi hauja malizika.
Share




