Hata hivyo, ongezeko la hisia na gumzo dhidi ya uhamiaji na jamii za tamaduni tofauti mjini humo, vina tishia kuharibu sifa ya mji wa Melbourne.
Tumia elimu kukabiliana na ubaguzi wa rangi

Senator Fraser Anning Source: AAP
Mji wa Melbourne, kwa muda mrefu umejulikana, kwa kuwa mfano wa mafaniko ya jamii zatamaduni tofauti kuishi kwa umoja duniani.
Share




