Wasikilizaji wenye asili yaki Aboriginal na Torres Strait Islander wanashauriwa kuwa hadithi ifuatayo huenda ikajumuisha sauti nama jina yawatu ambao wamefariki.
Msimu wa kwanza wa kipindi cha First Contact ulizua mjadala nchini kote, wakati wa Australia wasita maarufu walipo tembelea jumuiya zawa Aboriginal kwa mara ya kwanza.
Kipindi hicho ambacho kimeshinda tuzo ya Logie, kitarejeshwa katika runinga kwa musimu wa pili ila, wakati huu, mwandishi wa habari Ray Martin ataongoza wa Australia wasita maarufu ambao wana tofautiana kwa maoni kuhusu watu wa asili wa taifa hili.
Share
