Mtoto afanyiwa vipimo vya afya Source: Picha: AAPBaa la njaa lime tangazwa katika sehemu za Sudan Kusini, ambako nusu ya wananchi hivi karibuni watakabiliwa na ukosefu wa chakula.
Published
Updated
By SBS Swahili
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode contentShare this with family and friends
Baa la njaa lime tangazwa katika sehemu za Sudan Kusini, ambako nusu ya wananchi hivi karibuni watakabiliwa na ukosefu wa chakula.
Idadi ya watu wapatao milioni moja wako atharini, hali ambayo ime laumiwa kwa kuendelea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe pamoja na mgogoro wakiuchumi.