Vifo vya watu watanao vime thibitishwa, wakati wengine watatu hawajulikani waliko baada ya gari lao kumezwa na maji.
Shughuli za usafi zime anza katika maeneo ya kaskazini NSW na kusini mashariki mwa Queensland, juhudi zime elekezwa katika mji wa Rockhampton ambao uko katika eneo la katikati ya Queensland.




