Msanii Future Destin, amepata umaarufu kupitia mziki, uandishi wa kitabu pamoja na uigizaji uanao fanya katika jimbo la Queensland.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bw Future aliweka wazi sababu zakuandika kitabu kwa jina la Prize Fighter, utunzi wa nyimbo pamoja nakuwashirikisha nyota wamuziki kutoka Afrika Mashariki katika mziki wake. Bw Future alifafanua pia jinsi anavyotumia sanaa kutoa hamasa nakutuma ujumbe kuhusu maswala mbalimbali katika jamii.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.