Argentina ikiongozwa na mmoja wa wachezaji bora wa muda wote Lionel Messi, wamejipata pabaya baada yaku salimu kichapo chakushtukiza kutoka Saudia Arabia.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, mmoja wa mashabiki wakubwa wa Argentina nchini Australia Bw George, alifunguka kuhusu mechi ambazo ametazama katika kombe la dunia pamoja na matarajio yake kwa timu yake pendwa.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.