Hata hivyo, ya baadhi ya wanasiasa wenye ushawishi mkubwa katika taifa hilo la Afrika ya Kati, wame sema wata susia uchaguzi huo waki ishtumu tume ya uchaguzi CENI kwa kuto zingatia demokrasia.
Wakati huo huo, wagombea wengi nchini DRC wana endelea kuweka wazi sera zao kwa wapiga kura kwa matumaini yakupigiwa kura.
Bw Germain Byadunia ni mkaazi wa Australia ambaye anawania ubunge nchini DRC kupitia chama cha UNC. Ali eleza SBS Swahili kuhusu kilicho mshawishi kuwania ubunge huo pamoja na baadhi ya sera zake.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.