Tarehe 22 Septemba, waajiri watakuwa na chaguzi kati yakufunga milango ya biashara zao kwa likizo ya umma yakuomboleza kifo cha Malkia Elizabeth wa pili, au wabaki wazi nakuwalipa waajiriwa wao mishahara yajuu.
Waziri Mkuu ametetea tangazo hilo, dhidi ya ukosoaji kutoka kwa wafanya biashara na viongozi wa sekta.