Gilbert Chumba ndiye mchezaji pekee nchini Australia kutoka Afrika Mashariki, anaye cheza mchezo wakulipwa wa Handaball.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, aliweka wazi kilicho mvutia kushiriki katika mchezo, changamoto za mchezo huo pamoja na faida ya kushiriki katika mchezo huo kando na mshahara anao pokea.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.