Wanachama wa jamii yawa Armenia wanao ishi nchini Australia, wamekaribisha kuteuliwa kwa Gladys Berejiklian kuwa kiongozi wa NSW.
Binti wa wahamiaji kutoka Armenia, leo amekuwa kiongozi wa 45 wa NSW, baada yaku jiuzulu kwa Mike Baird wiki jana.
Share
