Wakati hesabu za kura zinaendelea jimboni kote, inaonekana kama serikali ya mseto imeshinda viti 46 kati ya viti 47 ilihitaji, kumaanisha itarejea mamlakani kama serikali ya wachache.
Iwapo hawata pata kura zakutosha, Bi Berejiklian tayari amepata ahadi za kusaidiwa na wabunge huru watatu wanao rejea bungeni.