(File: AAP) Source: AAPGavana wa Kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amesema asilimia 60 ya kaunti yake iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab.
Published
Updated
By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode contentShare this with family and friends
Gavana wa Kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amesema asilimia 60 ya kaunti yake iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab.
Gov Khalif ameongezea kuwa wana mgambo hao, hawataki maendeleo katika kaunti hiyo na hali ya usalama ina endelea kudorora pia.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.