Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Serikali yaingia katika hali yaku dhibiti madhara ya tovuti ya sensa iliyo feli

Ujumbe katika tovuti ya sensa baada ya tovuti hiyo kufeli
Ujumbe katika tovuti ya sensa baada ya tovuti hiyo kufeli Source: ABS

Serikali ya taifa imechukua hatua za haraka kudhibiti madhara yaliyo sababishwa na tovuti ya sensa kufeli, kwa sababu ya majaribio yaku sababisha uharibifu katika tovuti hiyo.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Serikali ya taifa imechukua hatua za haraka kudhibiti madhara yaliyo sababishwa na tovuti ya sensa kufeli, kwa sababu ya majaribio yaku sababisha uharibifu katika tovuti hiyo.


Maelfu yawa Australia walishindwa kutumia tovuti hiyo usiku wa Jumanne (9 Agosti) kwa sababu shirika la ABS lilikuwa lime funga tovuti hiyo.

SBS Swahili ilizungumza na mtaalam wa maswala yaki teknolojia na digitali, ambayo ali chambua kitendawili cha matatizo yaliyo ikumba tovuti ya ABS.

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now