Mbunge Ley awasilisha muswada wa zuio la mauzo ya kondoo kwa kuwasafirisha nje ya nchi wakiwa hai

Mbunge wa Farrer Sussan Ley, azungumza na waandishi wa habari kuhusu muswada wake waku simamisha biashara yaku safirisha kondoo ambao wako hai mashariki yakati. Source: AAP
Mbunge wa chama cha Liberal amejitenga na sera ya serikali ya Turnbull, baada ya kuwasilisha muswada binafsi wenye lengo la kuweka zuio la mauzo ya kondoo ambao wako hai katika ukanda wa mashariki ya kati katika miaka mitano ijayo.
Share




