Ripoti mpya ime baini baadhi ya watoto wenye umri wa miaka sita nchini Australia, wana endelea kubaki nyuma kwa upande wa viwango vya msingi vya kuandika, kusoma nakuhesabu.
Ripoti hiyo iliyo agizwa na serikali, ime pendekeza mitihani iwasilishwe kitaifa kwa ajili yaku hakikisha wanafunzi ambao wako katika darasa la kwanza wana fikia viwango vinavyo stahili vya kusoma, kuandika nakuhesabu.
Share
