1Dance Africa iliandaa tamasha kubwa zaidi la muziki waki Afrika na utamaduni nchini Australia.
Mashabiki wa muziki wa Afrika kwama elfu waliwaona nyota wakubwa zaidi katika muziki wa Afrika kama Yemi Alade, Wizkid na Harmonize jukwaani mjini Sydney na Melbourne.
Katika mazungumzo haya, Harmonize alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS kuhusu tamasha ya 1Dance Africa, pamoja na vinavyo mshawishi kutunga mashairi ya miziki yake.
Share





