Je sheria yakimataifa ime dhoufishwa chini ya Trump?
Picha ya bomu aina ya MOAB iliyo pigwa 2004 Source: Picha: AAP
Donald Trump amekosolewa kwaku shambulia Syria kwa makombora bila idhini ya baraza la usalama la umoja wa mataifa.Je sekta ya sheria yakimataifa imezungumziaje hatua hiyo? bonyeza hapo juu kwa makala kamili.
Share




