Je umebadili kura yako baada ya mdahalo wa urais?
Wagombea wa urais wa Kenya 2017 Source: Picha: KTN
Tarehe ya uchaguzi wa rais inapo endelea kukaribia kwa kasi nchini Kenya, raia wengi walitazamia kwa hamu mdahalo wa wagombea ulio kuwa ume andaliwa. Je kura yako ime shawishiwa na maono ya wagombea? Bofya hapo juu usikie uchambuzi wa mdahalo huo.
Share




