Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Martin Fayulu, Jumamosi alithibitisha kugombea urais kwenye uchaguzi wa tarehe 20 Disemba 2023.
Bw Fayulu ata kabiliana debeni na Rais Felix Tshisekedi, ambaye amekuwa tangu mwaka wa 2019 na anawania muhula wa pili.