Nakango Visions nishirika lisilo la serikali katika kitongoji cha Fairfield, Magharibi ya Sydney ambacho kinatoa fursa kwa baadhi ya wanachama wa jamii wenye umri wa juu, pamoja na walio wasili nchini Australia kama wakimbizi, fursa yakupata ujuzi wakushona nguo.
Je umepata ujuzi mpya kwa ajili yakupata kazi?

Baadhi ya wahitimu wa shule ya kushona nguo ya Nakango Visions Source: SBS Swahili
Mara nyingi watu wenye umri mkuu katika jamii, hukabiliana na changamoto nyingi kupata ajira wanazo taka.
Share