Bi Ley alikuwa akichunguzwa na idara ya Waziri Mkuu, kuhusu matumizi yake ya hela zawalipa kodi, wakati wa alipokuwa katika ziara rasmi.
Waziri Mkuu Malcolm Turnbull ametangaza mamlaka mpya itakayo shughulikia mafao ya wabunge, pamoja na kuchapishwa kwa ripoti kila mwezi kuhusu jinsi wanasiasa wanatumia hela za umma.
Share
