Tii onyo zinazo tolewa wakati wa maafa ya asili

Nyumba zilizo athiriwa kwa mafuriko mjini Townsville, North Queensland Source: Dr Rabin Tuladhar
Wakazi wa maeneo ambayo yame athiriwa kwa mafuriko mjini Townsville wanapo endelea kuhesabu gharama ya uharibifu kwa nyumba na biashara zao, SBS Swahili ilizungumza na wanachama wa jamii wanao zungumza Kiswahili, ambao wana ishi katika vitongoji jirani vya maeneo ambayo yame athiriwa kwa mafuriko hayo.
Share




