Fainali hiyo ili waniwa kati ya kina dada kutoka Uhispania na Uingereza, historia ya hivi karibuni ilipendelea Uingereza kwa sababu wali waondoa wahispania katika robo fainali ya kombe la Ulaya.
Licha ya hiyo, wahispania wali ingia katika fainali hiyo bila wasiwasi wowote wakiwa tayari kwa mapambano.
Mtangazaji wa redio Hope for Africa Bw Styves Derrick kutoka Sweden, alitupasha mubashara kutoka uwanjani yaliyo jiri katika pambano hilo.