Serikali za mikoa na shirikisho za laumiwa kwa matatizo ya nyumba katika ripoti

Picha ya nyumba iliyo uzwa mjini Sydney, Australia

Picha ya nyumba iliyo uzwa mjini Sydney, Australia Source: AAP

Utafiti mpya ume weka lawama kwa uhaba wa upatikanaji raisi wa nyumba kwa serikali zama jimbo na mikoa pamoja na serikali ya shirikisho.


Utafiti huo ume shtumu serikali hizo kwaku puuza kiini cha tatizo hilo pamoja na mipango hafifu.

Kituo cha utafiti katika taasisi ya Grattan kimesema juhudi ya viongozi bila shaka ime sababisha tatizo hilo.

Utafiti huo umedokeza kupunguza viwango vya uhamiaji kama hatua ya mwisho.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service