Taasisi za elimu zimewaka mikakati ipi, kutowapoteza wanafunzi katika maeneo ya ukame?

Wanafunzi wajadiliana chuoni Source: Digital Vision
Wakati wakulima wanaendelea kukabiliana na madhara ya ukame katika ukanda wa Australia, taasisi za elimu katika maeneo husika, nazo zimelazimishwa kutafuta mikakati mbadala, yakuwasaidia nakuhakikisha wanafunzi wao wanaendelea na elimu yao katika taasisi zao.
Share