Takribani nusu ya ajira za Waustralia, zitabadilishwa na mashine katika kipindi cha chini ya miaka ishirini.
Katika ulimwengu unaozidi kuunganishwa na teknolojia, tunawezaje kuthibitisha ujuzi wetu wa baadaye kuwa wafaa?
Baadhi ya wanachama wa shirika la chama cha wataalam wa Australia (APA), wali eleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, jinsi wanajiandaa kwa baadhi ya mabadiliko hayo yakiteknolojia katika sekta na kazi wanazo fanya.
Share






