Familia ya Bw Masudi iliwapokea wageni kutoka Australia ndani ya kambi ya Kakuma. Baadhi yawageni wao, walikuwa na maoni na misimamo mikali kuhusu wakimbizi nawaomba hifadhi kwa ujumla.
Bw Masudi na familia yake kwa sasa wame hamia nchini Australia nakuanza maisha upya tena.Walitembelea Idhaa ya Kiswahili ya SBS nakutueleza hali ilivyo kuwa ndani ya kambi hiyo yawakimbizi.
Share
