Jinsi gani jamii zinavyoathirika na masuala ya Ugonjwa wa akili

Elderly Asian woman with a worried look on her face Source: Getty Images
Desturi, tamaduni mbalimbali na mazoea, yanaweza kuathiri jamii nyingi na kuleta ugonjwa wa akili miongoni mwa vijana wengi. Sikiliza maelezo haya ambayo yanaweza kuepusha mwanafamilia yako asikumbwe na tatizo hili.
Share