Baadhi ya mada zilizo jadiliwa katika kongamano hilo zilijumuisha; nafasi na majukumu ya kila mtu katika familia, umuhimu wa dini kwaku dumisha umoja na ustawi katika familia miongoni mwa mada zingine nyingi zilizo jadiliwa.
Je unakarabati aje migawanyiko ndani ya familia nchini Australia?

Familia yachangia chakula Source: E+
Wanawake na wasichana kutoka jamii zenye tamaduni tofauti, walihudhuria mkutano ulio andaliwa katika kanisa la Jesus Family Centre ambalo liko katika kitongoji cha Cabramatta, NSW.
Share