Uchaguzi mkuu unapo karibia, vyama vyaki siasa huongeza kasi yautangazaji wa sera zao kwa ajili yaku wavutia wapiga kura.
Kwa uelewa zaidi wa swala hili, SBS Swahili ilizungumza na naibu rais wa wanajumuiya kutoka Congo, wanao ishi katika mkoa wa Kusini Australia Bw Emmanuel Chibuka.
Share
