Jinsi mafunzo stadi yanavyosaidia Wahamiaji

Source: AAP
Kuweka makazi kwenye nchi ya kigeni kunahitaji umakini hasa linapokuja swala la kutumia taaluma ili kujikimu kimaisha. Hapa Australia kuna mfumo wa mafunzo stadi ambao huwasaidia wahamiaji wengi. Kujua zaidi, ungana na Amadee Nizigama alipoongea na Karenzo leonard mwanachuo wa TAFE.
Share