Hatma yawana Afrika itakuwa ipi chini ya utawala wa Trump?
Picha: Mike Theiler Source: Picha: Mike Theiler
Masaa machache yana salia kwa Donald Trump kuapishwa kama rais wa 45 wa marekani, SBS Swahili ilizungumza na mmoja wa watangazaji wa One Mic Show, Ali Badawy kuhusu matarajio ya wamarekani wenye asili ya Mashariki ya Afrika kuhusu utawala wa Trump.