Rais huyo wa zamani wa Zimbabwe, alipendwa nakuchukiwa kwa usawa na, mara nyingi alisababisha mgawanyiko wa maoni ndani na nje ya Zimbabwe.
Historia itamkumbukaje Robert Mugabe?

Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe akagua gwaride la heshima katika siku yamashujaa Agosti 2017. Source: AAP
Robert Mugabe alifariki akiwa na miaka 95 nchini Singapore, ambako imeripotiwa alikuwa akipokea matibabu.
Share