Pendekezo laku badili masharti yaku pata uraia yata kuathiri aje?
Immigration Minister Peter Dutton Source: Picha: AAP
Serikali ya shirikisho imependekeza muswada waku badili muda waku pata uraia wa Australia, hususan kwa watu wenye viza aina ya PR. SBS Swahili ilizungumza na mwenye kiti wa shirika la Kenya Community Victoria Bw Milton Njanja, kuhusu hatua ambazo shirika lake limechukua kuwasaidia wanachama ambao wata athiriwa na mabadiliko hayo.
Share




