Huduma maalum ya afya ya akili kutolewa katika lugha za wagonjwa

Mwanaume afarijiwa. Source: Getty Images/Maskot
Wa Australia kwa sasa wataweza anza kupokea msaada wa afya ya akili, kutoka kwa mtu anaye zungumza lugha yao au anaye changia tamaduni nao au dini chini ya mradi mpya.
Share