Idadi ya watu wapatao mia tatu wame ambukizwa virusi vya malaria katika maabara mjini Brisbane, kwa jina la sayansi, nakupata mbinu mpya zaku zuia ugonjwa huo kusambaa.
Utafiti huo ni sehemu ya juhudi yakimataifa yaku tokomeza ugonjwa huo, ambao hudai maisha ya mamia ya maelfu ya watu kila mwaka, wakati aina mpya ya chembe za ugonjwa huo zina endelea kulemea dawa zake.
Mji wa Melbourne, ni mwenyeji wa kongamano la kwanza la kimataifa la malaria.
Kongamano hilo lilianza Jumapili, Julai mosi na litakamilika Alhamisi tarehe 5 Julai 2018.
Share






