SBS Swahili ilizungumza na mshindi wa tuzo ya mwanafunzi bora wakimataifa wa NSW Bw Linus Jamal Faustin.
Mzawa huyo wa Tanzania alizungumzia kazi yake kama kiongozi wa chama cha wanafunzi katika chuo cha teknolojia cha Sydney, pamoja na shabaa yake yakuwa rais wa Tanzania katika siku za usoni.
Share






