Wahamiaji waanza kufunguka kuhusu unywaji pombe

Image Source: Pixabay Source: Pixabay
Kuna vifo takribani 6,000 kila mwaka nchini Australia vilivyosababishwa na pombe - moja kati ya vifo 22 kwa jumla. Sasa wahamiaji nchini Australia wanaanza kufunguka kuhusu masuala yanayohusiana na unywaji pombe.
Share