Viongozi wa vyama viwili vikubwa wame apa, kuzingatia pendekezo hilo kwa makini.
Baraza la Kura ya maoni la taka kura ya sauti ya watu wa kwanza bungeni
Seneta Pat Dodson wa chama cha Labor Source: Picha: AAP
Shirika linalo wakilisha jamii ya watu wa kwanza wa Australia, lime shauri serikali iandae kura ya maoni kuanzisha sauti ya watu wa kwanza bungeni.
Share




