SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya wanafunzi wakigeni kutoka ukanda wa Mashariki ya Afrika, kuhusu masaibu yanayo wakabili, na aina ya misaada wanayo pokea kutatua changamoto hizo.
Wanafunzi wakigeni waomba watendewe haki
Wanafunzi wakiwa kwenye mapumziko chuoni Source: Picha: Getty Images
Gharama ya maisha inapo endelea kuongezeka kila kukicha nakusababisha matatizo katika familia nyingi nchini Australia, kuna kundi moja ambalo lina kabiliwa kwa changamoto za ziada kuliko makundi mengine.
Share




