Mwaka huu mandhari ya kongamano hilo ilikuwa "Mke Mwema", katika mazungumzo na SBS Swahili mmoja wa waandilizi wa kongamano hilo Bi Irene, alifunguka kuhusu lengo la kuandaa kongamano hilo pamoja na mapokezi ya walio hudhuria.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.