Kwa muda mrefu mkoa wa Queensland umezua changamoto kwa chama cha Labor nchini Australia hususan wakati wa uchaguzi mkuu.
Miongoni mwa viti 30 katika bunge la taifa kutoka Queensland, chama cha Labor kina miliki viti 6 tu, ilhali chama cha mseto cha Liberal Nationals kina miliki viti 22 na wabunge huru wanamiliki viti viwili vinavyo salia.
Mchambuzi wa mwaswala yaki siasa na mgombea wa hivi karibuni katika uchaguzi wa halmashauri ya jiji la Logan, Bw Blaise Itabelo, alichambua kitendawili hiki alipo zungumza na SBS Swahili.
Share
