Kitongoji cha Blacktown, kiko Magharibi ya Western Sydney na kina wakazi kutoka jamii mbali mbali na isitoshe kitongoji hicho kina wakazi wengi zaidi wenye asili ya Sudan Kusini kuliko sehemu zingine nchini Australia.
Je kitongoji cha Blacktown mjini Sydney, ni mfano waku igwa kwa ushirikiano wa kijamii?

Inspekta Mkuu Bob Fitzgerald, akipigwa picha aina ya selfie na mkazi wa Blacktown. Source: SBS
Kiongozi mmoja kutoka moja ya eneo yenye tamaduni nyingi nchini Australia, amesema jamii yao inaweza tumiwa kama mfano wa ushirikiano wa kijamii.
Share




