Waziri mmoja maarufu alifutwa kazi na wadhifa wake kupewa mwingine chini ya masaa 24 baadae, wakati huo huo msanii maarufu alikamatwa nakuachiwa huru bila kufunguliwa mashtaka baada yaku toa wimbo ulio kosoa uongozi na hali ya maisha nchini Tanzania.
Je Tanzania ina ongozwa kwa kiki?
Ney wa mitego azungumza na vyombo vya habari punde baada yaku achiwa huru Source: Picha: Ney wa Mitego
WaTanzania walio nje na nchini wame shangazwa na uamuzi unao toka katika serikali iliyo ingia madarakani kwa shangwe na matumaini mengi.
Share




