Je kura za urais wa DR Congo, zaelekea kuhesabiwa upya?

Wafuasi wa chama cha UDPS nchini DR Congo, washerehekea ushindi katika uchaguzi mkuu, ambao ulimpa mgombea wao fursa yakuwa rais wa taifa hilo. Source: Getty Images
Mgombea mmoja wa upinzani anasubiri kuapishwa kuwa rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), mgombea mwenza wa upinzani amewasilisha kesi katika mahakama yaki katiba, akitaka kura za urais ambazo zilimnyima fursa yakuwa rais zihesabiwe upya.
Share