Wanachama wa Jumuiya ya DR Congo wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika hafla maalum yaku adhimisha miaka 63 ya uhuru wa nchi yao pendwa.
Katika mazungumzo na SBS Swahili, baadhi ya viongozi wa jumuiya hiyo, walifunguka kuhusu hatua ambazo taifa lao limepiga tangu lipate uhuru kutoka wakoloni.