Licha ya juhudu ya wachezaji wa timu ya Kenya almaarufu Shujaa katika mechi walizocheza, hatimae vijana hao wali ambulia vichapo nakumaliza michuano hiyo bila ushindi hata mmoja.
Shujaa yawa sikitisha mashabiki mjini Sydney, Australia

Mashabiki wa shujaa, katika michuano ya Sydney 7s 2019 Source: SBS Swahili
Mashabiki wa timu ya taifa ya Kenya ya raga ya wachezaji saba, wikendi hii waliona tabu sana, walipo jumuika katika uwanja wa michuano ya raga ya wachezaji saba kila upande.
Share




